Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo wa kipnd cha watoto RTD , CHEI CHEI SHANGAZI, TUFURAHI SHANGAZI, UJE TENA SHANGAZI . .. .
 
Ngoja niutafute mkuu
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

kuna msanii wa kike rnb kainba what does not kill you make stronger kweye lryics ya huo winbo ila jina la msanii na winbo ,mm silijui .Nisaidien plz !!
 
Na tafuta wimbo wa Baba zao na mama zao ulioimbwa kwa lafudhi na lugha ya kipare........muimbaji Simjui jina.....
 
Jamani kuna wimbo wa Diamond sound band unaitwa TUPO ulitokaga miaka ya 2000 wakati mmoja na ule uitwao Valentine day
 
Jamani kuna wimbo wa Diamond sound band unaitwa TUPO ulitokaga miaka ya 2000 wakati mmoja na ule uitwao Valentine day
 
Hata sijaamini vile.... saa hii kiuno chauma. Asante sana. Mkubwa. Big ups! Please kama uko ma nuingine za diamond sound tafadhali baba tukonge roho...
 
Back
Top Bottom