Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mimi kuna taarabu naitafuta ila mwimbaji simjui jamani ila inaimbwa "usiku silali na mchana sili naumwa kimwali dawa IPO kwako mpenzi" ni weeewe ..ni weeewee ...ni weweee ......anayeijua hii taarabu na mwimbaji please msaada
 
Write your reply...
kuna nyimbo moja imeimbwa hv,

NAONA SIKU ZINAZIDI KWENDA BABY, NA MASIKU YANAKATIKA SIJAJUA KITU UNACHOTAKA KUNAMBIA,NAMBIEEEEE
 
Mimi nimetafuta wimbo wa SDA unaimbwa dunia mfano wa meli mawimbi siasa za nchi hufananushwa nadhoruba wasafiri ni binadamu wanaozidi kukata tamaa
Nimetafuta mpaka nimechoka nasijui walioimba ni kwaya gani kama kunamtu anao au anawajua anitajie jina lao
Tumekumbwa na pepo tufani latupiga katika safari yetu ambayo tumedhamiria, amani yatoweka tumaini lapungua........ Ni huo mkuu? Maana nami nausuka kwa kipindi kirefu bila mafanikio.
 
Natafuta nyimbo hizi:
1. cheza mbali na kasheshe wa GWM
2. Makonda hivi ni kwanini wa sostenes ambakisye
3. Na mwingine ni wa wale jamaa walikua wakijiita "weusi wagumu asilia"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzungu aliimba "home coming" ambayo ni copy ya alioimba Morgan Heritage. Nitafurahi kuupata.

Pia "redemption song" ya Bob Marley nautafuta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo wa dini ya kikristo unaimbwa hivi..anaujua anitajie jina na mwimbaji.

Bwana uniangazie nuru....ya uso wakooo ee Bwana...
Wewe bwanaaa uniwezeshaye mimi....kukaa salamaa aaa
Ndani yako....kukaaa salama aaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo sijui aliimba nani lakini unaitwa mama msamaha wa zamani huko miaka ya 2005 huko

Nakuomba mama msamaha nionee Huruma
Bakunde walihusika kuutengeneza
Mwanye nao anirushie


E&K
 
Back
Top Bottom