Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna ngoma ya KIKOSI CHA MIZINGA wamemshirikisha BELLE 9 inaitwa NYIMBO TOSHA mwenyenayo tafadhari naomba atishenayo humu
 
Kuna nyimbo kama kwenye chorus yupo ferouz (sina uhakika) ila kunamaneno kama
Usijali ipo siku nami ntapata
 
Back
Top Bottom