Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Gwankaja na kioo tafadhali naomba hizi nyundo.
1.Dudu Haya_Nakupenda tu
2.Dudu baya_Nakupenda mpenzi
3.Ay_Usijaribu
4.Akili the brain_Nakupenda regina.
Naomba kuwasilisha ahsante.
Hizi hapaBonta -Macho Yangu(Naona mimi)
Na ngoma zake zingine za kipindo hcho mkuu
[emoji120][emoji120]
Hahahahahaaaaa...Mwanza wa Rayvany na diamond platnumz, huu una kiitikio cha 'nyegezi'
Bonta -Macho Yangu(Naona mimi)
Na ngoma zake zingine za kipindo hcho mkuu
[emoji120][emoji120]
My girl friend wa cbm crew ft TID
Pamoja mkuu.Hizi hapa
saluti mkuuHuu hapa. Enjoy
Mkuu KIOO kuna ngoma moja ya wagum fulani wa zamani early 2000s bahati mbaya jina lao sijalikamata ila naikumbuka chorus inasema "TWENDE KAZI WATU WAJUE NANI M'BAKIAJI,TWENDE KAZI WATU WAJUE NANI M'BAKIAJI,TWENDE KAZI YOO×2",pia ktk verses kuna mmoja wao ana-rap kisha anafanya kama kufyonza hivi.....
Sijui kama maelezo yameeleweka ila naomba kama utaweza kuunga unga dots uipandishe hiyo ngoma hapa.
Hizo lyrics zinakuja zinatoka unaweza kuongezea mistari kidogo au mtu yoyote aliyepo kwenye hiyo ngoma humkumbuki aisee...?
Try to remember bro. Thanks.
[emoji1420]
Ngoja niijaribu kufikirika mkuu nitarudi.
Wakuu huu wimbo ninao kwenye CD nimefanya kuu-record kidogo tatizo hausikiki vizuri naomba mnipe hints jinsi nitakavyoweza kuweka kipande nilichokirekodi hapa jukwaani au niwarushie PM.Mwenyewe zinakuja zinapotea... ilikuwa kama crew hiv