Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Msaada tafadhali kwa mwenye ngoma hizi:
Sarafina -TOT Plus
Mpende Akupendaye-TOT Plus
Yatima - TOT Plus
Usiku wa Valentine- Diamond International
Kimalumalu-Diamond International
Natanguliza shukrani.....

Hili ombi nimelituma kama mara tatu humu!! Wimbo wa Valentine na Kimalumalu zilitumwa humu mwanzoni mwa hii thread just search!!

Ila hizo za TOT hazipatikani hasa huo wa Yatima na Sarafina na ombi jingine la wimbo wa Maprosoo band nimeisahau.

Ngoja Idimi na KIOO wakague store zao kwa kina tuone
 
Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
 
Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
The Kilimanjaro band wana njenje..jina LA wimbo ndio sikumbuki..
 
Naomba Listen wa Talib Kwel na Marafiki wa Chuchu Sound
 
Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
Kifupi mkuu watusaidie ngoma zote za kilimanjaro bend wana njenje za kitambo km njenje we njenje naki...
 
Kifupi mkuu watusaidie ngoma zote za kilimanjaro bend wana njenje za kitambo km njenje we njenje naki...
cheKi na hizo Wengine wataongezea
 
Attachments

Kuna wimbo jina silijui{country music}...muimbaji simkumbuki vizuri ila ni same body Richard... na huo wimbo ni wa miaka ya 80's
 
Hili ombi nimelituma kama mara tatu humu!! Wimbo wa Valentine na Kimalumalu zilitumwa humu mwanzoni mwa hii thread just search!!

Ila hizo za TOT hazipatikani hasa huo wa Yatima na Sarafina na ombi jingine la wimbo wa Maprosoo band nimeisahau.

Ngoja Idimi na KIOO wakague store zao kwa kina tuone
 
Attachments

Naomben wimbo wa miaka ya kati hapa siujui jina ila nakumbuka baadh ya maneno.... "MBONAAA WAYAVIMBISHA MASHAVU YAKO" msanii kama sio ji bas Ismail nahic wimbo unaitwa wivu ingawa sina uhakika...NISAIDIEN
 
Ningepata jina la msanii ingesaidia sana. Maayutafuta jina la wimbo kwenye huu msitu (more than 100 GB) ni kazi sana man.
Habari bwana Idimi

Kuna wimbo flani hivi wa bongo flava kitambo kidogo
Baadhi ya mashair yake Haya hapa
**Mimi Ni Dr Lida ni msambaa wewe Ni nani Ni msambaa**

Dr Lida_msambaa

Nb.. Msambaa namaanisha kabila.

Nauomba huo wimbo mkuu.

Shukrani.
 
Ninao. Ila niko mbali na pc. Asb na mapema nakurushia. Ni wimbo wa Dr. Lida

Back
Top Bottom