Nyoka mwenye makengeza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 870
- 776
stella/njoo wa chege.....daah hiki chuma nakitafuta kila mahala sijakinyaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Enjoy!makamua-tell me why
Jay Z au Jay Starz?Write your reply...Natafuta wimbo wa Jay Z Unaitwa WAITING FOR YOU
Ni huu?
Solo thangTuangalie vizuri usituvalie mawani, usishangae ukiniona nipo na Jay Moe, Jaffarai, Kelvin na Mchiz Moxx!!! Noma sana hili track ...
LegendKaka Hii ni moja ya ngoma nazozipenda.....ni takribani miaka kama 15 imepita ila ujumbe uleule wanaopiga kelele wasanii wa leo!
Anayo nyingine inaitwa 'slow'Huyo jamaa anaitwa E-Sir (R.I.P).
Ni moja kati ya wasanii nnaowakubali sana kutoka Kenya, ukiondoa Kalamashaka. Hiyo ngoma inaitwa Boomba Train alikuwa na Nameless humo ndani. Hiyo hapo chini.
Na ngoma nnayoikubali sana kutoka kwake ni Moss Moss. Hatari sana aisee.
Feel The Vibes.
Ft mzee yusuphRay c-nikikupa utalewa
Anayo nyingine inaitwa 'slow'
Mwenye track ya Nemo-vumilia
Mkuu mwenye track ya domokaya na chege- kaunta ya juu aitupie hapa
Mwenye track ya Nemo-vumilia