Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hawapigi tena track redion
hata kwenye tv hauonion
Na jina haliend chini
najua unashangaa hata mi sijui kwanini...

Ilikuwa verse ya kibabe sana...
...sometimes sina kitu lakini nakua mbishi
...nikipita manukato wengine wanaita marashi aaha aha sio ya Pemba Bali ni harufu gucci kila kitu ni original nang'ara kuliko tochi......cheni kubwa shingoni na hereni huku na huku maskioni....mama ako haniiti tena muhuni
 
wadau natafuta nyimbo ya hakeem 5 ft pasha inaitwa nakukunda chane mwenye nayo aitupie hapa jukwaani.
 
Hizi nyimbo ziko version mbili tofauti?
nadhan iko moja.ila nnayoizungumzia mimi sugu amechana na kuna sehemu kibwagizo chake anasema 'nataka nafasi,,nipeni nafasi halafu anamsifia raisi mkapa' jina la wimbo sikumbuki ila nadhani itakua kwenye aalbum yake ya mwisho kutoa kama sikosei
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
mimi natafuta ule wimbo unaotumika na akina Mrisho Ngasa wakati wanaposhangiliaga wakifunga bao.Yani kuna kama kawimbo fulani wanakaiga kwenye style ya kujiangusha Looooh wahts amazing cryze song.I like it.
 
Nitafuteni ule wimbo wa olduvai band "baba Kaleta panya" original nitatoa sh 10,000.
 
Back
Top Bottom