Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
SARAFINA, KACHICHI zimeimbwa band moja ciikumbuki jina ila nawakumbuka waimbaji mojawapo n huyu jamaa Hussen jumbe....

anaweza kujua band hyo ilikuabinaitwaje anikumbushe

jina LA album lilienda kwa jina " sarafina"
 
Natafuta ngoma ya Mwana FA ft Lady Jay Dee,,achana na alikufa kwa ngoma,wanaume kama mabinti,hawajui,niache niongee,sikiliza,,kuna moja hv alitoa muda sana,,jina nmelisahau

Ntashukuru sana mkuu
Siku macho nikiyafumba,kamwe Mimi sitoinuka...
 
Namba mwenye nyimbo hizo ndugu zangu

1.LEKAMBUKE BY CAZ T WA KOMBA

2.SIKUTAKA BY UNIQUE SISTERS SIO WALOIMBA NA DUDU BAYA

3.NIKUPE NINI MAMA BY GK SIYO ULE RMX

4.SIMULIZI ZA UFASAHA BY GANGWE MOBB FT SEKI

5. MWINGINE SIUFAHAMU JINA ILA NI WA LADY JD ALIIMBA KTK ALBAM YA KWANZA UNA MANENO HAYA (Ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda,nakupenda I love youuuuuu!). Tafadhalini jamani
 
Aksante

Lakini sio hii, baada ya kutafuta nimeweza kupata jna la wimbo ila mtandaoni siupat.

UNAITWA UMEONDOKA NI WA AFANDE SELE NA UMEMEONDOKA REMIX! PLEASE HELP ME
 
Kuna wimbo mmoja sijui unaitwaje ila una maneno haya

Mayangiseeee ooooooogh mayangi kula mambooo x2
Nguku kupilika maaaaapuuuumbuuuu kuvimbaaaa ngiiiiiiiii sina kituuuuuuuuuuuuuuu x2
Sambukileeeeeeeee marashi ya mbalambalaaaaa

Mwenye nao aurushe huku niufyonze
Duuh hivi ulipata kweli
 
Back
Top Bottom