Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaaah kitambo sana yaanTOTO PARTY
si ungeimba hiyo chorus mkuu..Wakuu sana natafuta wimbo wa muziki wa dansi ambao melody yake (hasa kwenye chorus) ni kama hivi:
kitambo mno mkuuDaaaaaah kitambo sana yaan
Natafuta ngoma ya Mwana FA ft Lady Jay Dee,,achana na alikufa kwa ngoma,wanaume kama mabinti,hawajui,niache niongee,sikiliza,,kuna moja hv alitoa muda sana,,jina nmelisahausi ungeimba hiyo chorus mkuu..
Kama upo wimbo Wa hao jamaa unaitwa bosi itakuwa vema kuudondoshaBWV hao...
Siku macho nikiyafumba,kamwe Mimi sitoinuka...Natafuta ngoma ya Mwana FA ft Lady Jay Dee,,achana na alikufa kwa ngoma,wanaume kama mabinti,hawajui,niache niongee,sikiliza,,kuna moja hv alitoa muda sana,,jina nmelisahau
Ntashukuru sana mkuu
Yap,,hiyo hiyo mkuu,,,naitafuta sana,,FA alitulia sanaSiku macho nikiyafumba,kamwe Mimi sitoinuka...
Nnayo kwenye PC halafu kuipandisha hapa ni mtihani mana nishashindwa hili zoeziYap,,hiyo hiyo mkuu,,,naitafuta sana,,FA alitulia sana
Aisee,,ngoja nisubr wadau wengine mkuuNnayo kwenye PC halafu kuipandisha hapa ni mtihani mana nishashindwa hili zoezi
Duuh hivi ulipata kweliKuna wimbo mmoja sijui unaitwaje ila una maneno haya
Mayangiseeee ooooooogh mayangi kula mambooo x2
Nguku kupilika maaaaapuuuumbuuuu kuvimbaaaa ngiiiiiiiii sina kituuuuuuuuuuuuuuu x2
Sambukileeeeeeeee marashi ya mbalambalaaaaa
Mwenye nao aurushe huku niufyonze
Yap,,hiyo hiyo mkuu,,,naitafuta sana,,FA alitulia sana
Ubarikiwe sana mkuuKazi kwako