Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Msaada wakuu.

Nyimbo hizi.
Tommoro-joh makin
Kigwema nyimbo zoote bila kusahau ile anamchana star wa bongo aliyepigwa na mganga.
Jos mtambo nyimbo zoote.
Ngwair international mc
Mandojo na kaya ile mamis tanzania.

Joh makini ft bushoke. Every time i sing this song(si jina halisi)
Motra the future zoote.
Lord eyez obama.

Alafu kuna kanyimbo cha joh makin sikajui jina ila kana beat flan ya sampling.mm inaanza na kama kinanda hivi alafu demu anaita kwenye phone sauti flan ya wizi...
Alooo alooo.

Msaada wadau.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
N.I yule mzanzibari aliimbaga kwenye najua ya berry black... Naombeni zake zoote anajua saana.

Jebbi pia zoote.
Mwanafalsafa zoote bila kusahau ile ungeniambia... Na mapenzi gan.

Mr two ft stara wanachotaka mi nipate taaabu...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom