Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Sio mbaya mkuu. Yani nilikuwa nataka niwe naimba mm. Kuna gitaa moja imepigwa ni balaaaMkuu enjoy:
Ila kwenye maktaba yangu instrument yake nimeikosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbaya mkuu. Yani nilikuwa nataka niwe naimba mm. Kuna gitaa moja imepigwa ni balaaaMkuu enjoy:
Ila kwenye maktaba yangu instrument yake nimeikosa.
Hujawahi kukoseaNaanza na hizi hapa chini. Twende kazi
Mkuu ile ya djcleo inaitwa hands up ipo hapo juu???Kwaito nyingine kali hizi hapa.
Mkuu huo namba 1 hapo juu
huo # 1 ni tsa ma ndebele kids kaimba oskido ft candy..
Kama unao udondoshe mkuuhuo # 1 ni tsa ma ndebele kids kaimba oskido ft candy..
Ndiyo mkuuMkuu huo namba 1 hapo juu
""pwili mbwilipwizi")
umeupata!!???
og vp huna mkuu??Mkuu enjoy:
Ila kwenye maktaba yangu instrument yake nimeikosa.
Huu hapa mkuu enjoyKama unao udondoshe mkuu
Njoja niucheki mkuu nikiupata nitakushtuaog vp huna mkuu??
og vp huna mkuu??
Kama unao udondoshe mkuu
Fadha baba, hii accoustic Version/ guitar. Vipi hauna full version????Mkuu enjoy:
Ila kwenye maktaba yangu instrument yake nimeikosa.
Safi kamanda wngHuu hapa mkuu enjoy
Dj Cleo_hands up
Tafadhali wakuu naomba huo.