vuvunduli
Senior Member
- Jan 15, 2012
- 164
- 125
Ngoma unayoitafuta ni hii...Enjoy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma unayoitafuta ni hii...Enjoy
Mkuu ni android app kama apps nyingine tu kwa ufupi nyimbo nyinyi nazi extend kupitia simu siyo pc kwa hiyo ingia Google search discdj for android utalipata.Nitumie kaka! Me natumiaga Sony Acid & Adobe Audition hizi program ni ngumu kishenzi [emoji16] japo zinaunda intros nzuri sana,,, Ila sijazi master vizuri...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie kaka! Me natumiaga Sony Acid & Adobe Audition hizi program ni ngumu kishenzi [emoji16] japo zinaunda intros nzuri sana,,, Ila sijazi master vizuri...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nliiona hiyo show...kihualisia ngoma ni ya Robert Nesta Marley aka Bob Marley ila Mkwewe Lauryn Hill akaifanyia remix akimshirijisha baba mkwe. Kipindi hicho tayari Fugees ilikuwa imeshasambaratika huku Wyclef Jean na Plus Michel pia kila mmoja akifanya lake.. ukitaka video link niNgoja nikusaidie.
Wimbo unaitwa: Turn your light low
Kaimba Lauryn Hill nadhani wanaitwa Fugees..ngoja wataalamu waje..but nakumbuka aliimba wimbo huo.
EnjoyHabar za Leo mkuu.
Hivi una lile dude la kuamsha linaitwa "BAYEYE BAYEYE"??
Nimeshauweka tayari pitia post za nyuma kidogo utauona
Karibu tena
Nliiona hiyo show...kihualisia ngoma ni ya Robert Nesta Marley aka Bob Marley ila Mkwewe Lauryn Hill akaifanyia remix akimshirijisha baba mkwe. Kipindi hicho tayari Fugees ilikuwa imeshasambaratika huku Wyclef Jean na Plus Michel pia kila mmoja akifanya lake.. ukitaka video link ni
Yaani Umepatia [emoji817]Hiyo ngoma ilitoka miaka ya 96 au 97 na iliimbwa na East African Melody... sauti moja balaa yake Zuhura Bint Shaabani. Hakuna Tenda Hakuna Buzi ndo jina la nyimbo kuna mistari anasema "Umebeba begi watafuta buzi..mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huo wa kuruka ukuta" nadhani na ndipo neno la kuruka ukuta lilipoanza....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hizi kiongoz Kama utakuwa nazo itakuwa poa piaKaribu tena
Smart guy
Ngoma unayoitafuta ni hii...Enjoy
Mkuu zimepatikana hizi enjoy:Kuna hizi kiongoz Kama utakuwa nazo itakuwa poa pia
1-Tanga kunani
2-Kero(umeme na maji)
3-Nitamtambuaje
4-Walimu
Zote za wagosi wa kaya
Sent using Jamii Forums mobile app
EnjoyWakuu khabar za mwaka mpya natumain wote ni wazima humu ndan na kama kuna anae umwa bhasi naomba mungu amjaalie apone haraka.shida yangu kuna nyimbo flan hvi ya miaka hyo.ila msann simfahamu inaimbwa hvi TULIZANAA MPENZI TUPENDANEE.MAPENZI NI KUVUMILIANA NA MIMI MPENZI NIMEKUVUMILIA.
pia kuna taarabu moja ilikua inaimbwa hvi NIHURUMIE ASU WANGU KAMA NIMEKUKOSEA AIKUWA DHAMIRA YANGU JAPO NILIKUKOSE. hvo yani mwenye nazo hzo mbil au hata mojawapo anisaidie wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enjoy
Wakuu khabar za mwaka mpya natumain wote ni wazima humu ndan na kama kuna anae umwa bhasi naomba mungu amjaalie apone haraka.shida yangu kuna nyimbo flan hvi ya miaka hyo.ila msann simfahamu inaimbwa hvi TULIZANAA MPENZI TUPENDANEE.MAPENZI NI KUVUMILIANA NA MIMI MPENZI NIMEKUVUMILIA.
pia kuna taarabu moja ilikua inaimbwa hvi NIHURUMIE ASU WANGU KAMA NIMEKUKOSEA AIKUWA DHAMIRA YANGU JAPO NILIKUKOSE. hvo yani mwenye nazo hzo mbil au hata mojawapo anisaidie wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja
Enjoy