Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo mmoja hv sijui aliimba nani,wa kitambo xna.Nafahamu baadhi ya maneno tu ktk chorus."aibu umenipa,kwa kunitosa mpenzii,siku ya ndoa yetuu,mbele ya wazazi wangu,weee.....".Kama Kuna mtu anaufahamu na anao naomba msaada ktk hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend wakuu..

Bwana Idimi vp mkuu kwaito ndo zimeisha mkuu??
Niongezee hapa kama zooote mkuu
Huo ndo ulevi wangu mkuu.

Tafadhali mkuu Fanya hivyo ongeza vyuma hivyo.

#Idimi
 
Mgumba part ii wa muumini... please mwenye nao ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani kuna limit ya kutuma files kubwa JF coz natuma inakataa aisee ina 25MB.
Screenshot_20190105-203406.png
 
We jamaa weweMungu akubariki. I have been looking for this song for long while. Lakini leo nimeupata
 
Kijogoo sina nyumba.ntajenga barabarani.ntajenga nyumba ya mawe ghorofa ndani kwa ndani
 
Kijogoo sina nyumba.ntajenga barabarani.ntajenga nyumba ya mawe ghorofa ndani kwa ndani
Huu wimbo haupatikani, na humu usitegemee kuupata, humu wanazo nyimbo za wanamuziki wa kisasa zaidi.

Jaribu pale temeke mwisho standy, unaweza kuupata wale wanachukua TBC, nyimbo nyingi wanazo siku nikienda kule huwa nanunua nyimbo ninazokosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo tayari wakuu. Post za juu.
Imeandikwa KIJONGOLE

Back
Top Bottom