m2mixh
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 614
- 391
Bomba xna kiongozHuo wimbo namba 3 unaitwa "Titamtambuaje". Ninao ila sijajua uko folder gani. Nausaka. By the way nimekuongezea za ziada. Enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bomba xna kiongozHuo wimbo namba 3 unaitwa "Titamtambuaje". Ninao ila sijajua uko folder gani. Nausaka. By the way nimekuongezea za ziada. Enjoy
Pamoja
Hiyo nyimbo ipo post za juu.Wakuu wa hii Department Naombeni mnipatie wimbo wa Saigon.
Siujui jina ila una keywords kama Poor performance na Ignorance. Nautafuta sanaaa wakuu wa hii idara
Wakuu wa hii Department Naombeni mnipatie wimbo wa Saigon.
Siujui jina ila una keywords kama Poor performance na Ignorance. Nautafuta sanaaa wakuu wa hii idara
We jamaa weweMungu akubariki. I have been looking for this song for long while. Lakini leo nimeupata
Thank u sonAmin kiongozi.
Usjali kabisa ndugu tuko hapa kusaidiana kama hivyo mkuu.
Feel the vibes bro. Thanks.
[emoji120]
Huu wimbo haupatikani, na humu usitegemee kuupata, humu wanazo nyimbo za wanamuziki wa kisasa zaidi.Kijogoo sina nyumba.ntajenga barabarani.ntajenga nyumba ya mawe ghorofa ndani kwa ndani
Kijogoo sina nyumba.ntajenga barabarani.ntajenga nyumba ya mawe ghorofa ndani kwa ndani
Huu wimbo haupatikani, na humu usitegemee kuupata, humu wanazo nyimbo za wanamuziki wa kisasa zaidi.
Jaribu pale temeke mwisho standy, unaweza kuupata wale wanachukua TBC, nyimbo nyingi wanazo siku nikienda kule huwa nanunua nyimbo ninazokosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kufukua nikitafuta huo wimbo wa Kijogole nimechemka mimi.