milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Kaka una nyimbo ya joto hasira ya lady jay dee?nakuaminiaZa kizazi kipya nyingi mnazo kwenye mitandao. Hizi za zamani nyingi hazipo mitandaoni, hivyo tunafanya kukumbuka enzi. Hata hivy hujazuiwa kuomba, utapewa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app