Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mwenye nyimbo [emoji397] za papa wemba plz plz adondoshe kwenye hii post
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye nyimbo [emoji397] za papa wemba plz plz adondoshe kwenye hii post
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu. Yaani daah.Usjali mkuu tuko pamoja sana bro.
Thanks a lot.
Ahsante chief.Nikushukuru kwa niaba ya wenzangu ukio watag. Sharing is caring. Huo namba 4 umeimbwa na Neck Breakers. Upo hapo juu. Angalia kuanzia page ya 140
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Kuna wimbo mmoja hivi wa anderground wa zamani sijui kaimba msanii gani jina limenitoka unaekezea maisha kama ya kuzaliwa mpaka unatokea duniani ulikuwa unapigwa sana radio prt kabla haujabadilishwa jina na kuitwa tbc fm ...