KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta wimbo wa Gospel wa KIRK FRANKLIN unaitwa "MY LIFE DEPEND ON YOUR HAND"
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta nyimbo hizi mwenye anazo anisaidie..
!. Kalapina- Asiyekubali kushindwa sio mshindani
2.Tatuu - Penzi la daima
3.Miss sarah - Nikuite jina gani mpenzi
4.Complex - nyimbo imenitoka ina beat flani nzito.
Asuu nautafuta siupati
Td mkali
Unaona mambo hayo ss,,
Project ni zetu wapenzi wasikilizaji,barikiwa sana na kwa ngoma ile ya mwanzo nadhani kuna utamu zaidi ktk zijazo[emoji123][emoji123]twasubiri kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks a lot brother,,itapendeza sana kushare nasi hizo ngoma hapa[emoji120][emoji120]
Hivi sikukuita kumbe[emoji134][emoji134],,nsamehe bure ndugu yangu,,unatekwa sana tatzoSs kutoniita ktk mambo mazuri km haya manake nini.?[emoji19]
Wakati tunafundishwa kizuri kula na nduguyo.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks too bro,,tunazisubiri hzo ngoma broMsijali wakuu wangu.
Napenda mnavyopenda nnachopenda mnakipenda nakipenda pia na tunakipenda na tutakipenda daima coz nacho pia kinatupenda wapendwa.
Much Respekt...!
Thanks too bro,,tunazisubiri hzo ngoma bro
Bush baby tabasamu
Wimbo wa Complex inaitwa Kiraka juu ya Kiraka kama sijakoseaNatafuta nyimbo hizi mwenye anazo anisaidie..
!. Kalapina- Asiyekubali kushindwa sio mshindani
2.Tatuu - Penzi la daima
3.Miss sarah - Nikuite jina gani mpenzi
4.Complex - nyimbo imenitoka ina beat flani nzito.
Asubuhi wa Banza stoneHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
last chance wa crazy T ft. Kessy MwanambokaHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Asubuhi wa Banza stone
last chance wa crazy T ft. Kessy Mwanamboka