m2mixh
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 614
- 391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zipo nyingi taja majina unazotaka
ndio huu??Enomike nashida na huu wimbo
Amstrong dady ft bandago michano
Inaitwa SafariMwenye wimbo Wa ferooz sijui jina lake ule nimeutafuta sana bila mafanikio Jamaa anaimba "Mola niongoze njia iliyonyooka,wenye chuki nawadhibiti madhubuti"
Shukran nimeupataInaitwa Safari
Hii imeshatumwa inaitwa Jiko limenuna.
Nadhani hizi application zinatofautiana. Wengine inatuletea ku-appload photos peke yake. Video na Audio hamna hiyo option.Mimi nipo app ya jamii forums hilo neno sijaliona labda nijaribu Man's nimeandika haya maneno Kwa chini kuna kama file lina alama ya +
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni wimbo wa Kalapina feat. Belle9 unaitwa Nyimbo tosha.
Sent from my SM-G610F using Tapatalk