Wakuu nifanyieni msaada wa nyimbo hizi:
1. Mpende akupendae -Tot akiwemo marehemu banza stone na waziri sonyo
2. Eda - hii ni taarab uliimbwa na kundi la Babloom kina Seif Kisauji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nifanyieni msaada wa nyimbo hizi:
1. Mpende akupendae -Tot akiwemo marehemu banza stone na waziri sonyo
2. Eda - hii ni taarab uliimbwa na kundi la Babloom kina Seif Kisauji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mwenye wimba wa wenge BCBG siujui jina ila unavionjo kama
Baswahili batati mang'ana..... Au eliiii mama...eliii mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye wimbo wa EXTRA BONGO REGINA ZANZIBAR NAOMBA ANISAIDIE
Bab lee kizizi not remix
Barnaba na beka & amini natumaini
Natafuta wimbo wa NILIKUTENDA VISIVYO wa K-Basil
Anaitwa Amri DiabWakuu KIOO binswedi mwenye wimbo wa Habibi kaimba yule mwarabu jina silijui atupie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ninazo hizo tu nategemea wengine watatupia zaidiMwenye nyimbo za wale majamaa Sheky na Aviril tafadhali.....