Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 306
- 103
Siyo wewe tu nimezunguka sana kwa warusha nyimbo lakini holaaaaa ukiupata unikumbuke mkaliHuu wimbo ninautafuta mpaka akili inaniruka yaani dah!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wewe tu nimezunguka sana kwa warusha nyimbo lakini holaaaaa ukiupata unikumbuke mkaliHuu wimbo ninautafuta mpaka akili inaniruka yaani dah!!!
Ndio ni ya kwakeThanks aisee ila hii ngoma kwani ni ya Drezzy Chief mkuu...?
Hebu icheki hii halafu nambieWakuu nimerudi tena naomba wimbo wa twanga pepeta mtu pesa audio yenyewe kabisaaa isiwe ya kupakua katoka video za YouTube na kuikonveti mwenye pure audio aniwezeshe.
Nautafuta wimbo wa less wanyika unaitwa Afro.
Mimi kuna wimbo sijui kaimba kaka man kuna kipande kaimba"aishaee raha mechi bao" naomba mwenye nao asababishe
Sent using Jamii Forums mobile app