Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Daaaaah, mkuu umetisha zaidi ya njaa aisee. Umefanya weekend yangu iishe vyema sana aisee.

Salute sana mkuu.

Halaf kuna wimbo mmoja hivi wa kitambo kidogo ni mdada wa Kenya unaimba hivi mkuu...

"Songa hapa nikueleze yalo moyoni, tukifika ukingoni, tutarudia mwanzooonii... ". Ushaujua mkuu nautafuta sana aisee.
 
Attachments

Nahitaji ngoma 2 za Solo Thang Nilikupenda mwanzo na nyingine Mpenzi wakuu.
 
Back
Top Bottom