Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Write your reply...msaada mwenye nyimbo hizi

1:Mack dizo ft mr Paul nilikupenda sana
2:mack d ft inspector haron & balozi _ homa ya jiji
3: profesor j naamini nitashinda
4: balozi kila siku kila mwaka
 
Write your reply...msaada mwenye nyimbo hizi

1:Mack dizo ft mr Paul nilikupenda sana
2:mack d ft inspector haron & balozi _ homa ya jiji
3: profesor j naamini nitashinda
4: balozi kila siku kila mwaka
 

Attachments

Attachments

Ninaomba wimbo ambao ambao ni bongo fleva ya mwanzoni ya miaka ya 2000, kwenye chorus wanaimba ' tingisha kiuno mama kata logi.... oooh mama .. napenda unavyokataaa'
 
Mwenye wimbo wa dully hi aweke hapa usiwe na mikwamomikwamo pia diamond music band mapenzi pia atusaidie
 
Back
Top Bottom