Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hapo hapo kwenye my file fungua kisha kama una memory card kutakua na mafile mawili

(1) Internal memory na
(2) External memory
Sasa hapo inategemea umeiset vipi simu yako, kama uliiseti kila unachodowload kiingie kwenye memory ya simu, basi fungua internal memory kisha tafuta file la download utazikuta ila kama umeset simu kila ukidownload vitu viende kwenye memory card basi fungua external memory na uende kwenye file la download na utazikuta nyimbo zote ulizodownload hapa.
Wenzako ndio tunafanya hivyo
Natumaini kwa maelezo hayo marefu utakua umeelewa.

Mkuu file manager wala siioni, ila kuna my files...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dude la mchomvu aloshirikiana na godzilla ,kuna neno mwishoni kwenye koras "tutuswee.." ina beat kali sana iyo ngoma.
 
Back
Top Bottom