uujn
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 666
- 851
Mkuu file manager wala siioni, ila kuna my files...Ukiingia kwenye file manager unaziona au huzioni...?
Zinakuwa kwenye folder la Download.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu file manager wala siioni, ila kuna my files...Ukiingia kwenye file manager unaziona au huzioni...?
Zinakuwa kwenye folder la Download.
Sio mkito.net no mzibo.net kuna wimbo wa mtoto geti Kali rmx ft ALI choki katika album yao ya simulizi la ufasaha msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeshatumiwa, asante sana
Upo ndio nimeuona ila kwenye category ya gangwe nyimbo zinazodownloadika ni mbili tu.
Kaka naomba wimbo wa Whitney Houston whatchulookinat remix ft Pdiddy kama unaoUnatumia simu gani na player gani kuskiliza hizo nyimbo aisee...?
Una-save kwenye simu au memory...?