Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hebu na mimi mniwekee wimbo wa Jose Mtambo kama kuna mdau anao unaoimbwa "Heeya heee" (sina uhakika na jina la wimbo) Mimi ni shabiki wa nyimbo za hip hop za bongo.
 
Mkuu natafuta wimbo wa DACK MASTER -(Nimepamiss Home ) na wimbo msanii.mmoja wa siku.nyng anaitwa KUBU au KANYAMA wimbo unaitwa (Menu)
 
Back
Top Bottom