ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
SHUKRANI NA UBARIKIWE SANA BRO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mwenye wimbo wa Dully Sykes Haji Sadi na wa Chember Squad Party East Zuu atupiemo h
Mkuu naomba wa gk na fina mango mama
mkuu nisaidie kitu cha wagosi wa kaya _ weka x
Poa poa mkuuShu
Nashukuru sana mkuu gwankaja
Naona attachment inagoma man. Sijajua kuna shida gani
Hebu na mimi mniwekee wimbo wa Jose Mtambo kama kuna mdau anao unaoimbwa "Heeya heee" (sina uhakika na jina la wimbo) Mimi ni shabiki wa nyimbo za hip hop za bongo.
Hebu na mimi mniwekee wimbo wa Jose Mtambo kama kuna mdau anao unaoimbwa "Heeya heee" (sina uhakika na jina la wimbo) Mimi ni shabiki wa nyimbo za hip hop za bongo.
Cheki hapo juu, nimeuweka
Cheki hapo juu, nimeuweka