KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Natafuta wimbo unaitwa MIFUPA MIKAVU wa Magestic singers. Kama kuna mtu ana audio naomba anisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta wimbo unaitwa MIFUPA MIKAVU wa Magestic singers. Kama kuna mtu ana audio naomba anisaidie
Mkuu kioo naomba unisaidie wimbo wa nash mc mapendo,nakumaind ya temba na usihukumu ya daz baba.
Audio ya Wanna Be Happy by Kirk Franklin weka hapa Ni download sasa hivi please.
KIOO niwekee wimbo wa Jose Mtambo! Niliomba humu kwenye post za nyuma. Una kiitikio cha "heeya he" Jina lake hata silifahamu.
Nahitaji nyimbo zifuatazo moja ya solo thang sukari na pilipili nyingine r tone nyimbo inaitwa chumbani
Mr KIOO ningependa unijuze kuna nyimbo inaitwa "ndani ya tarehe"-HBC ndani yake kuna jamaa anajiita First Born anachana kama jamaa mmoja wa kwenye wimbo wa TMK majita- tunadatisha verse ya mwisho..ni yuleyule au flow kufanana tu??
Kama nyimbo hzo unazo vyema ukazitupia pia mkuu
Wimbo wa Jason n nick minaj...tonight(pleaseee)
Dudu baya mashaka please
Mzamiaji by wanaume halisi
Marshmello ft tyga -Light it up
Chris Brown ft drake -No guidance
Drake, Kiki na God's Plan
Jason derulo ft Nicki--Swala.
Jason derulo -goodbye
Dj snake ft tyga -Loco coco
Nicki minaj --Barbie Tingz na Barbie Dream
Yo got ft Nicki minaj --Rake it up
Future ft Nicki -you are the baddest
Tyga ft Nicki -Dip
KIOO [emoji4]
Nimeku-miss sana my dear. Lol.
Nimeku-miss sana my dear. Lol.
Mungu akubarikiAsante sana mkuu Mungu