FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Mkuu kazi yangu bado tu aisee..
Unamaanisha nini unaposema ina-play kidogo sana aisee...?
Unamaanisha ina-play kwa muda kidogo au ina-play kwa sauti kidogo mkuu...?
Mbona mie naiskiliza mpaka inafika mwisho aisee.
View attachment 1140480