Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Mkuu nimekaa nimemkumbuka mwanangu Ferooz hebu nitupie ngoma ya Kijana Mteja kama unayo bro.
 
Mkuu KIOO kwenye hiyo ngoma uliyoweka hapa ya Suma Lee Ndani ya 1 week mwanzo kuna kama beat linaanza halaf Suma anaimba then baadae beat linabadilika mkuu.

Hilo beat lina ngoma yake au ni intro tu, nimeielewa sana mkuu. Kama ni ngoma kabisa naomba utupie bro.
 
Attachments

Thanks Much Mzeee... Ukiupata Na Ule Wa K Sal Aliimba Na Abeid Unaitwa Unyama Unyama Nidondoshee Mwanangu.. Huo Hapo Wimbo Wenyewe
Screen_Capture_Img_743.jpg
 
Narudia Tena Kusema... Shukrani Sana Mzeee... Hizo Ngoma Nimeanza Kuzitafuta Tangu December 2012 Nikazikosa Ila Nimezipata Kwako... Ntafutie Na Unyama Unyama Ya K Sal Ntashukuru
 
Mwanangu Uko Wapi Kwanza... Hii Furaha Niliyonayo Haielezeki... Nahisi Nikijua Uko Wapi Ntafurahi Zaidi... Mwanangu Umetisha Mno Aseee.... Barikiwa Sana,, Nimehangaika Miaka Karibia 9 Ila Ww Ndani Ya Dk 3 Tu Ngoma Hii Hapa😂😂.. Kweli Uchawi Upo
 
Natafuta wimbo wa living on a jet plane, sijajua aliimba nani ila ni mdada hv.
 
Mwanangu Uko Wapi Kwanza... Hii Furaha Niliyonayo Haielezeki... Nahisi Nikijua Uko Wapi Ntafurahi Zaidi... Mwanangu Umetisha Mno Aseee.... Barikiwa Sana,, Nimehangaika Miaka Karibia 9 Ila Ww Ndani Ya Dk 3 Tu Ngoma Hii Hapa😂😂.. Kweli Uchawi Upo

Hahahahah uchawi upo asikwambie mtu aisee...!

Mi nipo Bongo Daressalaam pande za Kinondoni kaka.

Feel The Vibez bro. Enjoy.
 
Daaaah wee mtu ni hatari kupita maelezo mkuu. Natamani nikupigie hiko kifaa unachotumia aidha iwe simu au laptop aisee. Hatari sana.

Ningekuwa nahitaji radio station ningekupa ajira bila ya interview aisee. Much respect mkuu.

Saluuuuuut nyingi sana kwako.
 
Hahahahah thanks a lot kiongozi wangu. Tuko pamoja mkuu.

Welcome.
 
Back
Top Bottom