Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Tumia app ndo utaiona post #9672 au hata hapa unaweza ipataHuo ukurasa ni wa kwenye simu nadhani. Kwenye web, hii thread ina page 492 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia app ndo utaiona post #9672 au hata hapa unaweza ipataHuo ukurasa ni wa kwenye simu nadhani. Kwenye web, hii thread ina page 492 tu
Nimekuelewa. Nilikua nafafanua tu kwa ajili ya members wengineTumia app ndo utaiona post #9672 au hata hapa unaweza ipata
Nautaka wimbo wa qaswida "utakwenda peke yako kaburini ukakae'Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Wimbo wa mtt wa mjin kabaka mkate muimbaji nmemsahauHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Oooh sawa nduguHuo ukurasa ni wa kwenye simu nadhani. Kwenye web, hii thread ina page 492 tu
Nenda www.rubega.com utaupataKaka unaniangusha.
Baba kaleta panya wameimba Olduvai Band.
Baba kaleta panyaaa
Baba kaleta panyaaa
We usiseme panya sema mbuzi wa porini.
Usiwasikilize hao mama...
Kwani hao ni ndumilakuwili.
Nautaka wimbo wa qaswida "utakwenda peke yako kaburini ukakae'
umeupata?Nenda www.rubega.com utaupata
Nenda www.rubega.com utaupata
umeupata?
Nikutumie wasap au?Hamna kitu. Haupo kule. Nimejaribu ku-search haupo.
Halafu nyimbo hazijapangiliwa vizuri mle. Ukifungua folder mfano la Taarab unakuta na nyimbo za Bongofleva humo humo.
huko ndo huwa tunapatiepo mapini yaliyo adimHii site nimeenda. imekaa kiduwanzi kinyama.
Nyimbo za bongofleva zimewekwa kwenye folder la Taarab.
Hata wimbo wa Baba kaleta panya haupo!
Shukran sanaHuu hapa. Enjoy
Diamond ft lavalava- one two nahisi ndo utakua unaoutafta mkuuKuna wimbo mmoja una vimbwagizo hivi
Oyaa wainue west
Chiiiii
Kill command
Chomeka...
Sijui kaimba nan naomba mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app