Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna huu mwingine nao nimeutafuta sanaa bila mafanikio ni wa suma lee nafikiri unaimbwa "kama pesa zako zina kuzuzua kila umwonae wataka kumchukua, mapenzi si biashara emu tulia mapenzi maelewano moyo kuuchaguaa" mwenye nao tafadhali
 
Nmetoka kuutafuta hapa haupo mkuu wangu
Mbona simple tu aisee,kwenye uzi kuna vidoti vitatu pembeni upande wa kulia,ingia hapo utafute neno 'search' uandike key words za wimbo unaoutaka kisha majibu utaona!
Screenshot_20200709-111808.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom