Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naombeni wimbo wa "matatizo kotekote" una kiitikio cha wimbo wa lady jaydee....ni wa rap zamani kidogo 2000+ na kitu
 
nimeupata kipande huu wimbo kama unaujua au unao please do share nimeutafuta sana na hapa kuna mtu aliusikia mahali akanitumia. Ni wimbo wa gospel unaelezea yesu na wale wezi wawili pale msalabani. Kama unao au unwajua waimbaji nisaidieni nitashukuru sana.
 

Attachments

Wakubwa kuna wimbo umeibwa hivi
Adoli mama adoli mamamaaa
Adoli mama sote tutakwendaaaaax 2
Anayeujua anisaisie.
 
Natafuta wimbo unaitwa "mahali pazuri nahisi umeimbwa na upendo & harmon"
 
Latifa wewe, Latifa wewe, Latifa wewe rudi nyumbani huo uzuri wa sura yako walikuwepo kitamboo..

Wakati mwingine naoota, uko uliko unateseka, mawazo mengi nawaza ivi ni lini ntakuona..

Dah huu wimbo nimeusaka sana anaeweza kuufahamu anisaidie, apo juu ni baadhi ya mistari iliyomo ata aliyeimba simjui ila ni wazaman
Unaitwa nadhifa
 
Back
Top Bottom