Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hi JF people,

Naomba wimbo wa Awilo Wa Mbeya unaitwa Ndiyo maana twinzile.
 
Natafuta wimbo wenye maneno haya, "akaanza kunisaula mimi namuangalia tu, akaanza kupiga mauno ya shetani mimi namuangalia tu".
 
ningekuwa na mabawa,MV bukoba,Wakati mgumu zoote za Justine kalikawee
piaa Duniani kuna mambo ya Dekula kahanga vumbii
mwenye hizoo ngoma wadauuu
 
MWENYE WIMBO "DEREVA ACHA VITUKO WA MAKONGORO" NI WA ZAMANI,
NAUOMBENI[emoji120]...
 
Naomba wimbo Wa zamani sana una maneno CHAWA NA PANYA WALIISHI NYUMBA MOJA,
 
Wakuu naombeni msaada kuna wimbo wa Lollipop wa swahili version ni wa kitambo kidogo mwenye nao nauomba tafadhali.
 
Naombeni wimbo wa kikatoliki waitwa tazama tazama Mungu ndie anayenisaidia ....pls pls mwenye nao nauomba[emoji120]
 
Mimi kuna wimbo nautafuta una maneno haya hapa

Si ulisema.kwamba unataka kuniambia,//
Nambieee nambie mpenzi//
Naona.muda unazidi kwenda baby//
Na.masaa yanakatika lady//
Sijajua kitu unachotaka kunambia//
Nambieee nambie mpenzi...
N


Nwasilisha
 
Ney_mitego
Zero K_kurja
Alaf kuna moja sijui kaimba nan na inaitwaje,ila kuna baadhi ya mistari ya hui huo wimbo inasema hv,,
Nimempoteza wangu mpenz et kwa sababu ya bintii,,
Moyo wng unauma sana,binti huyu amekuja na barua mkononi toka kwa wazaziX2
 
Naombeni wimbo wa dini wa GODWIN NGOSSO -Siku ya kufa kwangu
 
Naomba mwenye jingle ya radio one aliyoimba papii kocha."wajifanya wanajua kumbe waungua jua aah radio one kiboko yao"
 
kuna nyimbo naitafuta ila sijainyaka manen yake ila kuna sehem anaimba hey hey nananana hey hey nanana ahhhh ahhhh
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Ney_mitego
Zero K_kurja
Alaf kuna moja sijui kaimba nan na inaitwaje,ila kuna baadhi ya mistari ya hui huo wimbo inasema hv,,
Nimempoteza wangu mpenz et kwa sababu ya bintii,,
Moyo wng unauma sana,binti huyu amekuja na barua mkononi toka kwa wazaziX2

Hiyo nyimbo ameimba Jamaa wa kuitwa Norichiko ngoma inaitwa nimemfukuza!! Ipo mtandaoni unaweza idownload..
 
Kuna wimbo kauimba kayumba lakini ni cover ya innocent unaitwa sote ni ndugu...nimeutafuta bila mafanikio
 
Wimbo wa asili ulioimbwa na mzee Makongoro - Niache kazi ya mradi nitakula kwako.
 
Back
Top Bottom