Mzee hata mie nausaka sanaWadau kuna wimbo wa kiasili unaimba....
"Ooh nyamala mwanangu utapata mwali mwingine baba"
Mwenye kujua jina la wimbo au alieuimba tafadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hata mie nausaka sanaWadau kuna wimbo wa kiasili unaimba....
"Ooh nyamala mwanangu utapata mwali mwingine baba"
Mwenye kujua jina la wimbo au alieuimba tafadhari.
Ndiyo mkuu! Msaada kama unaoUpo katika miondoko ya reggae siyo?
Dah mkuu me mwenyewe huwa nausikia tu ila simjui muimbajiNdiyo mkuu! Msaada kama unao
Naombeni wimbo wa kigwema ft Marlow sintomsahau
Hata mimi nautafuta huu wimbo kaka..Wadau kuna wimbo wa kiasili unaimba....
"Ooh nyamala mwanangu utapata mwali mwingine baba"
Mwenye kujua jina la wimbo au alieuimba tafadhari.
OSS Skasi Kasambula -Christina MoshiBandugu Nisaidieni Hizi Nyimbo Sijui Nani Kaimba Ila Mmoja una Mashairi Yafuatayo...
..Uwezo Sina ningekujengea Nyumba...
Uwezo Sina ningekununulia Gari...
Uwezo Sina Ningekununulia Mtumbwi Ukavue Samaki... Bali matatizo madogo madogo hayatonishinda... Sababu Jungu kuu Halikosi Ukoko..... Akiba Yangu Ya Mapenzi Nakupa wewe....
Wimbo Mwingine Ni Huu..... Ukimuona Huko aliko Mwambieni Kweli nateseka eee Thamani yake bado Ipo Moyoni Mwangu....
Naombeni Sana Mniambie Hata majina na Bendi nijue pa Kuanzia kutafuta
Natafuta wimbo ulioimbwa na bob Ludala,(asante kwa kunizalia mtoto)
Pia wimbo wa tarsis masela ft dada mmoja sijui kurjan jina kama sijakosea
nami waungwana nautaka huooMkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".
Mkuu nashukuru nimeupataOSS Skasi Kasambula -Christina Moshi
Tshimanga Asosa(Legho Star) - Fransisca