Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo nautafuta sana bila mafanikio
Maneno ya kwenye uo wimbo
"Mtoto wa mama mtoto wa mama acha kulia sana hapa upo ndani ya jela kwenye wimbi la masela,
Watu si wasikiivu,watu sio wavivu,watu wavumilivu chagua mbichi au mbivuu,
Mtoto mzuri sana Handsome,ulizoea chakula kitamu Sasa hapa sio hoome Sasa hapa sio home...jela jela

Msaada wenu wadau
 
Kuna wimbo wa Remmy Ongala anasema akinywa Gongo anafanya sana kazi, 🙂 anaeujua anisaidie jina lake wakuu.
 
Mwenye nyimbo za Pastor Jangalason.....Original version tafadhari nazihitaji...Natanguliza shukran
 
Jamani mwenye nyimbo hizi naomba
1.Kimondo Band_Neli
2.Q chief_kina fulani wanakudanganya mke wangu
3.Chief maker_Maimuna
 
Wakuu naombeni msaada wenu kuna winbo nimekuwa nikiutafuta sana lakn sijawai kuuoata tatzo sijuwi jina lake ila kionjo chake kuna sehem wanaimba ..bolingo bolingo sakiee mamieeee mami saakii
 
Bandugu Nisaidieni Hizi Nyimbo Sijui Nani Kaimba Ila Mmoja una Mashairi Yafuatayo...
..Uwezo Sina ningekujengea Nyumba...
Uwezo Sina ningekununulia Gari...
Uwezo Sina Ningekununulia Mtumbwi Ukavue Samaki... Bali matatizo madogo madogo hayatonishinda... Sababu Jungu kuu Halikosi Ukoko..... Akiba Yangu Ya Mapenzi Nakupa wewe....
Wimbo Mwingine Ni Huu..... Ukimuona Huko aliko Mwambieni Kweli nateseka eee Thamani yake bado Ipo Moyoni Mwangu....
Naombeni Sana Mniambie Hata majina na Bendi nijue pa Kuanzia kutafuta
OSS Skasi Kasambula -Christina Moshi
Tshimanga Asosa(Legho Star) - Fransisca
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
nami waungwana nautaka huoo
elimu ya mjinga na ulee wa nyamayao was me
ntiiiintiiiiintiiii ntiiiii
tiliiii liii liiii liiiiiii tantila ntenteeeeenteee wa Ally choki huu na twangaa
 
Kaka zangu wadogo zangu naombeni wimbo wa TOT BAND uitwao MTOTO MTUKUTU upo kwenye albamu ya MASIMANGO natanguloza shukurani kwenu[emoji120]
 
Back
Top Bottom