kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Asante tubarikiwe sote mkuu
Recho replay unao wimbo hu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante tubarikiwe sote mkuu
Ninao mkuuRecho replay unao wimbo hu
Kula dundo hilo mkuuRecho replay unao wimbo hu
Kula dundo hilo mkuuView attachment 2467684
Kadiri ya maelezo yake,,,, wimbo ni huuSio huu kweli
]
Kwani wewe ndiyo. huo wimbo?Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
NaamDaaah[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]mkuu
Ni kweli,japo mwenyewe hajasemaKadiri ya maelezo yake,,,, wimbo ni huu
Ukiachana na nyimbo hii ya Kenny G ya forever in love kuna nyimbo nyingine inapigwa trumpet inawekagwa kwenye kipindi cha usiku cha radio nahitaji kuijuaKadiri ya maelezo yake,,,, wimbo ni huu
Huu wa Salim Ahmed Salim nimeuona huu hapa; usikilize ni mzuri mnoMimi siku nyingi sana natafuta nyimbo zifuataz:
1. Wimbo wa Salim Ahmed Salim, ulipigwa miaka ya mwanzoni ya 90, wakati mheshimiwa huyu akiwa Katibu Mkuu wa OAU, una maneno mazuri sana ya kumpongeza. Ulipigwa na kundi la Zaita Muzika, la akina Supreme Ndalakasheba. Una maneno baadhi yake yanasema "Aee aee Afrika aee, OAU itashinda, Salim Ahmed Salim, dua zetu zikufikie aee...."
2. Natafuta pia nyimbo za kwaya ya Iringa, album yao ilikuwa inajulikana kama KUNDI LA NZIGE
Nitafurahi sana kama kuna mtu ata-acknowledge kwa kunipatia nyimbo hizi