mnyaruu
Member
- Oct 4, 2017
- 94
- 72
[emoji116]FA ft. MANGUSTINO & JOSE MTAMBO.
kesho naiweka hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji116]FA ft. MANGUSTINO & JOSE MTAMBO.
kesho naiweka hapa
Kama hujaupata sema nikupe haraka...Kuna mwana hip hop mbongo anafloo kama za Rado.Ngoma ni ya kitambo sana na video yake alitolea kwenye jumba ambalo alijakamilika(Pagara).
Ndani ya wimbo kuna maneno haya"KWA NINI NISHEREHEKEE SIKU YA KUZALIWA WAKATI WALIONIZAA HAWAPO?".
Nauomba.Asante.
Basi sijaona kama umeupata, Unaitwa MI NTAWEZA nita u upload baadae siku ikiisha.Kuna mwana hip hop mbongo anafloo kama za Rado.Ngoma ni ya kitambo sana na video yake alitolea kwenye jumba ambalo alijakamilika(Pagara).
Ndani ya wimbo kuna maneno haya"KWA NINI NISHEREHEKEE SIKU YA KUZALIWA WAKATI WALIONIZAA HAWAPO?".
Nauomba.Asante.
Bado sijaupata mkuu.Kama hujaupata sema nikupe haraka...
Itakuwa poa sana kiongozi.Basi sijaona kama umeupata, Unaitwa MI NTAWEZA nita u upload baadae siku ikiisha.
Rama D kashirikishwa TU kiitikio. Niliu rename vibaya.
Tazama ramani
Kama no Huo, unaitwa punguza uselaJose mtambo - msela. Mwenye huu wimbo nauomba
Shukrani sana mkuu.
Sio Fred Saganda kweli,ila jina la wimbo sikumbukiKuna wimbo mmoja nliuskia unapigwa ea radio juzi jpili uyo alieimba ameimba kwa lafudhi ya kichaga yaan kama anaongea hz af biti afu anaelezea kuwa kuna siku walikua wamelewa yaan anelezea mambo ya uko rombo rombo sjui arusha ni ngoma flani ya taratiiibu hv