Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
[emoji120]monique seka_okaman
Utafute upo youtube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120]monique seka_okaman
Utafute upo youtube
Nenda YouTube kacheki wimbo inaitwa HOZA umeimbwa na jamaa wanajiita Nigui Saff utanishukuru[emoji3]Kuna wimbo flani nautafuta sana nadhani ni kutoka Africa magharibi niliuona zamani kidogo. Anayefahamu anisaidie
**** sehemu wanaimba amuli tiii tii titi eenhh titi eeh tilo tilo
Wanacheza kwenye maji wanazama na kichwa halaf wanaibuka
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
D Knob- Njaa ya mkwanjaKuna wimbo niliwahi kuusikia chorus inataja Dolla, pulla, ..mitcash na brant
Sijawahi kujua uliimbwa na nani niutafute
Sauti nzito kama ya mchiz Mox
Wimbo wa Ney wa Mitego unaitwa Jinsi. Kuna mtu anao?
Aise uliupata mkuu? Share tafadhariNatafuta nyimbo ilikua inapigwa na zamaaani radio tanzania n ya watoto inaimbwa hiviii
" watoto wasafi moyoni n nyota za wazazi sisi ni maua tuliopandwa na Mungu mwenyeziiiii lalalalalala lalalalaaaaaaa lalalaaaaa""
Big Sean huyoKuna jamaa anaimba kluuuuuuuu pumpumpumpuu sikia kenkenkenke
Big SeanKuna jamaa anaimba kluuuuuuuu pumpumpumpuu sikia kenkenkenke
Natafuta ngoma ya luten karama ft datazHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Nafuata wimbo wa Baby ft chid benz _ nitembee
Nimeutafuta kila kona nimeukosa jamani msaada .
Kuna sehemu unaimbwa " niache nitembee nitembee nitembee mbele"
www.kibaboy.com