Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo flani nautafuta sana nadhani ni kutoka Africa magharibi niliuona zamani kidogo. Anayefahamu anisaidie

**** sehemu wanaimba amuli tiii tii titi eenhh titi eeh tilo tilo

Wanacheza kwenye maji wanazama na kichwa halaf wanaibuka


Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Nenda YouTube kacheki wimbo inaitwa HOZA umeimbwa na jamaa wanajiita Nigui Saff utanishukuru[emoji3]
 
Kuna wimbo mmoja Alikiba kashirikishwa na ameimba chorus. Jina la wimbo nimelisahau but hiyo chorus ni kama inaimbwa hivi
"Niende wapi weekend kwenye watu kibao wengine ni wakora wa kuchunguza ya wenzao na kuna wengine wanatafuta mabifu it's ok its ok tatizo hilooo niende wapi weekend leo......."
 
Natafuta nyimbo ilikua inapigwa na zamaaani radio tanzania n ya watoto inaimbwa hiviii
" watoto wasafi moyoni n nyota za wazazi sisi ni maua tuliopandwa na Mungu mwenyeziiiii lalalalalala lalalalaaaaaaa lalalaaaaa""
Aise uliupata mkuu? Share tafadhari
 
Kuna wimbo pia aliimba dada flani hivi kamshirikisha Nurueli, unaitwa kalamu na karatasi nao nauomba wakuu
 
Wimbo mwingine sijui kaimba nani ila kuna mistari kama hii, NAPENDA UKIVAA KANGA MOJA MI NAPENDA UKIVAA KIMINI.
Nimezimiss sana nyimbo hizo naziomba wakuu
 
Naomba anaye ufahamu wimbo wa mnanda wenye maneno haya kwenye kibwagizo"baba zulula siyo kweli bwana wee!mtoto umezaa mwenyewe usimchoke bwana ooo!Ayaa njooo,njooo,njooo".

Nauomba.
 
Back
Top Bottom