neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 369
- 351
Jamani kwenye wimbo wa TID unaiotwa mrembo aunaweke hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunaiomba sasaUnaitwa Baby Girl ameimba jamaa anaitwa KingLenny
Amvila myayNoblesse Oblige
Ngoma kali sana hii.
Nimechaka sanaKwa wasikilizaji wa Radio free africa kipindi hicho kila jumapili kulikuwaga na kipindi kinaitwa Indian style
Kuna wimbo ulikuwa ukitumika background, nimeattach namna ulivyokuwa ukiimbwa tafadhali anayejua jina la wimbo au mwenye nao naomba.
Natanguliza shukrani
Hahaa pole mimi kwenye nyimbo sipo vizuri mkuu, labda sweet reggae kidogo 🤭Kuna wimbo jamaa anaimba "nafungua ukurasa wa kitabu cha mimi na wewe" jamaa ana dread amemshilikisha msaani mwingine.
Kama unaujua niambieni Leejay49 financial services
Hizi hapa...!Mi nazitafuta nyimbo izi mbili tu oh yeah foxy brown na julio iglesias when i need you iwe katika mfumo wa mp3 nitashukuru sana
Ngoma za Top T (ama ulimaanisha top C?) na UVC nimezikosa. Pata hizo mbili kwanzaMwenye hizi ngoma please
Kanizima by K basil
Kaka yuko town by UVC
Nimekufananisha by Top T
Nataka by Wandago ft G solo
Hebu usikilize huu, kama sio wenyewe basi semaNatafuta wimbo uliopigwa na Tanga International miaka ya 80. Jina sikumbuki lakini huenda ni Roza.
Mbona lugha ya kibabe sana mzeeJamani kwenye wimbo wa TID unaiotwa mrembo aunaweke hapa
Idimi
Nauliza ili SEBENE wanalocheza wakina ZIMWI na MZEE KING MAJUTO nani ni MSANII na nyimbo inaitwaje??
View: https://youtu.be/vnmKkyqQ2AE?si=6kRLLw_pSMY9VLA_