Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mwenye sebene moja ya kikongo inaimba "Ale sadona ye sadonaye alekisadoneee" ×2 hiii hiii alekisadonooooo.... Mwenye idea na huu wimbo wazee
 
Natafuta wimbo Fulani Wa Congo jamaa Anaimba nadhani Kwa Lingala Kuna sehemu. Jamaa Anaimba watu wanaitikia "MAMA OOOH ZUBE ZUBEEE' kama Kuna anayeujua maaana mashairi mtihani kuyatamka vzur
 
Ngoma Moja inaitwa ARUSHA nadhani ni ya JCB ila chorus kaua NAKAAYA
 
Mwenye hizi ngoma please
Kanizima by K basil
Kaka yuko town by UVC
Nimekufananisha by Top T
Nataka by Wandago ft G solo
 
Wakuu mwenye nyimbo hiz
1 .Wandago family wimbo unaitwa Nataka ft G solo
2.K basil wimbo unaitwa Kanizima
3.UVC ngoma inaitwa Kaka yuko town
4. Top T ngoma inaitwa Nimekufananisha
 
Mwenye hizi ngoma please
Kanizima by K basil
Kaka yuko town by UVC
Nimekufananisha by Top T
Nataka by Wandago ft G solo
Ngoma za Top T (ama ulimaanisha top C?) na UVC nimezikosa. Pata hizo mbili kwanza
 

Attachments

Attachments

Back
Top Bottom