Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Me natafuta wimbo wa mapacha watatu (Kalala jnr, Jose Mara na Khalid Chokoraa) wimbo unaitwa sauti ya marehemu.
 
namna wadau mnavyo eleza nyimbo mnazo tamani kuzipata nacheka sana

natamani pata nyimbo ya GK mama ama nyimbo za prof. j akiwa bado na kundi lake la hard blasters

mkuu Idimi pitia hapa
Ziweke majina hizo za Hard Blasters, maana ziko kibap sana. Za GK sijaupata
 
Ziweke majina hizo za Hard Blasters, maana ziko kibap sana. Za GK sijaupata
mkuu weka tu ulizo nazo huwa nazielewa balaa

kuna ule mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa, maisha nilichezea leo hii nalala na njaa
 
Habari Wadau, hii jingle ya Zamani RTD, anayeweza kuipata kwa ukamilifu wake kama wimbo asaidie.
 
Attachments

mkuu weka tu ulizo nazo huwa nazielewa balaa

kuna ule mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa, maisha nilichezea leo hii nalala na njaa
Haya, hizi hapa.
 
Attachments

Back
Top Bottom