Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF
2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023, Yanga Africans, Tanzania. Na kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]
Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ
Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa
NB: mkinuna .....naleta ushaidi
View attachment 2574237