FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
ππππHakika mna stahili pongezi [emoji23][emoji23]View attachment 2574241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππHakika mna stahili pongezi [emoji23][emoji23]View attachment 2574241
Baadae mtu anakula goli nyingi tuMadunduka hawaelew
Mtani Shadeeya haya yana ukweli???Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF
2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023, Yanga Africans, Tanzania. Na kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]
Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ
Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa
NB: mkinuna .....naleta ushaidi View attachment 2574237
Wanajitekenya na kucheka wenyewe yn uto kweli wenye akili ni watu 2 tu ππWameamua tu kujitoa fahamu
current Yanga wapo kwa maluza Simba ipo Champions,nani yupo kwenye heshima?ππUnaongelea historia....sisi tupo current