Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Hapa kila mtu anataja zawadi ya mbususu, cha ajabu tukiwapa mbususu huwa mnaponda eti mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya mbususu, mara ukitoa mbususu kwa mwanamke atakupa nini......

mzabzab hebu chagua zawadi mbali na mbususu
Sii anipe zawadi ya kupiga threesome na rafiki yake.
Wewe zawadi gani ungependa toka kwa mpenzio
 
Wewe mbona hujasema zawadi uipendayo toka kwa mpenzio
 

TUNDA LA KATIKATI
 
Hao uliowataja wote pesa zao zipo mfuko wa shati ila hawatokiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa uelewa wangu, zawadi kwa mpenzi/mwenza, Ni kitu au Jambo lolote ambalo utalifanya kwa ajili ya huyo mwenza/mchumba/mpenzi ili kumfurahisha kwa sababu ya kufanya Jambo Fulani au tu kumfurahisha. Na Ni busara ukipewa zawadi na mpenzi au mwenza ukaipokea kwa furaha na kuitumia.

Kwa upande wangu, huwa najiskia vibaya ninapokosewa na mpenzi au mwenza, alafu akaamua kuniletea zawadi Kama kunipoza. Ni vizuri tukaombana msamaha tukamalizana then ndo nipewe zawadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…