Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Kwa uelewa wangu, zawadi kwa mpenzi/mwenza, Ni kitu au Jambo lolote ambalo utalifanya kwa ajili ya huyo mwenza/mchumba/mpenzi ili kumfurahisha kwa sababu ya kufanya Jambo Fulani au tu kumfurahisha. Na Ni busara ukipewa zawadi na mpenzi au mwenza ukaipokea kwa furaha na kuitumia.

Kwa upande wangu, huwa najiskia vibaya ninapokosewa na mpenzi au mwenza, alafu akaamua kuniletea zawadi Kama kunipoza. Ni vizuri tukaombana msamaha tukamalizana then ndo nipewe zawadi.
Asante kwa ushauri wako mkuu😍
 
Back
Top Bottom