Niacheni nilie maana bado sijasahau yaliyonipata jana yasije kunikuta tena

Ndio mambo ya siasa na wanasiasa yalivyo, we fikiria mtu kama Lissu kwa jinsi unavyomjua ila alikula matapishi yake Lowassa alipo karibishwa Chadema hakuwa na la kupinga,kwahiyo ni kawaida kwenye siasa.
 
Ndio mambo ya siasa na wanasiasa yalivyo, we fikiria mtu kama Lissu kwa jinsi unavyomjua ila alikula matapishi yake Lowassa alipo karibishwa Chadema hakuwa na la kupinga,kwahiyo ni kawaida kwenye siasa.
Ndiyo maana mliamua kumtandika marisasi kama nguruwe mhalibifu wa mazao?
 
...Mmmmh alikopa kwa miradi ipi..si tuliambiwa SGR na bwawa la Nyerere tunajenga kwa hela zetu wenyewe...hii mambo ya itaanza kulipa, tuliambiwa pia kwenye ATCL....
 
Cha msingi ni tumuombee tu apumzike huko tusiko kujua karaha zake wala nuru zake.
 
Kipindi hiko Mishahara wakisubiri mpaka tarehe 15 ya mwezi ulifuata kudadeki na maallamiko juu huku wakilia na kusaga meno, hela ya kulipa mishahara mpaka ikikopwa
..Ajabu ni nini...kama mwezi huu umelipwa mshahara tarehe 15, unafikiri mwezi unaofuata utalipwa tarehe ngapi kama sio hiyo 15 ili kutimiza mwezi?
 
Uzuri ni kwamba Tabaka tawala huwa ni dogo kuliko Tabaka tawaliwa ambalo pia lina nguvu ya umma.
Yakijitokeza hayo wala usiwe na wasiwasi, tutaleta 'Chuma' kingine kinyooshe vichwa ngumu huku tukiwa tunatumia huku kutokuelewa kwetu kwa sasa kama reference ya wakati huo utakapofika.
 
mimi....
 
Hao marais wastaafu walikuwa wanakiri sio kwakuwa walikuwa wanakubali kama walivyosema , bali walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hivi ulitegemea waseme ukweli tofauti na alichokua anataka kusikia? Halafu usitake kuonyesha eti alikuwa anasafisha pori ndio watu wakaumia. Aliumiza watu kwa kutumia kundi lake la watu wasiojulikana kwa kuwateka, kuwaua, kupora fedha za watu kwa kuwabambikia kodi, kufanya mauaji, kaucha wananchi na vilema hasa wa upinzani ili anajisi uchaguzi. Kwa maneno marahisi jamaa alikuwa shetani, ndio maana Mungu akaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.
 
Kama upumbavu wa kuharibu pesa za wananchi kwa maigizo ya namna hii utaendelea kusifia sana sisi tutakua tunawakumbusha mlivyojipa uhalali wa kutawala kwa njia haramu..
 
Alikuwa mtu katili sana hakuwa na sifa yakuwa kiongozi
 
Imeniuma saana kuona fedha za walala hoi kutumika kusambaza mwili vile mtu aliyekuwa jambazi muuaji, katiri wa kutupwa.

Hata heshima ya kuzikwa au kupigiwa ile mizinga haikustahili kabisa.

Mimi nitawasimulia wanangu, kulikuwa na Hayat Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Mama Samia n.k

Siwez kumueka huyu juwe maana wajukuu wataniona mimi ni mwehu kukubali kutawaliwa na kiumbe asiyekuwa akijitambua kama huyu.
 
Hayo mashairi mwimbie Ben Saanane na wengine waliokufa kipindi unachokisifia.
 
Ufisadi wote wa JK haujawahi kugusa 1.5t trillion.

Jamaa yeye akapiga hiyo pesa.

Tuweke nje pesa za ndege, miradi ya ujenzi aliyoipa kampuni yake n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…