Niacheni nilie maana bado sijasahau yaliyonipata jana yasije kunikuta tena

Mradi wa TZK ni moja ya miradi iliyoanzishwa kipindi cha JK....400kv Iringa - shinyanga, JK kajenga Kihansi Hydro Power, Kinyerezi ambako umeme wa SGR unaanzia imejengwa na JK, hebu tajeni kitu ambacho kaanzisha bila kuwa ni muendelezo wa kazi za wenzake..
 
Unasifia unjiga wa mwendazake aliye kuwa akiua watu wazi wazi na kwa presha hivi mlipewa nini hadi leo hii bado mnaandika huu utumbo
 

Gharama za hizo safari kwa miaka10 zilifika trilion ngapi?
Tukumbushe na mikataba aliyofanya kipindi hicho cha safari imetuletea faida gani sisi kama taifa
 
Twambie basi wewe kilichowafanya mumtandike hizo risasi
Kuna aliyekiri kumtandika Risasi Lissu? kama yupo huyo ndio anayejua sababu, Maana hata mimi sielewi maana kama ni issue ya kisiasa tu kwanini apigwe risasi Lissu tu na si Mbowe,Lema,Msigwa au Zitto? Kwahiyo inawezekana Lissu mwenyewe anajua zaidi nani kamfanyia hilo shambulizi na na kwanini.
 
mbona mataga mnateseka sana mmeshindwa kujiua mkamfata alipo ili hzo sifa mkampe yeye direct.

Kingine nasikia huko alipo ni kiongozi wa malaika raha iliyoje!!! mtapata vyeo kupitia yeye..

Huku duniani tushamfuta.... Wala hatumkumbuki
 
Hakuna mema aliyo Fanya zaidi ya kutekeleza miradi yoote iliyo anzishwa na mh kikwete
Na chuki ya wazi kwa wamawia, kwa kupora vyanzo vyao vya maendeleo, ikiwemo Gesi, korosho, mbaazi na kutamani kama sio kuwapiga shangazi zao
 
Hivi ndugu yangu unajua huyo mwendazake hakuruhusiwa safari za ndege kwa muda mrefu ndo maana hakusafiri sababu ya pacemaker....na yeye akawaaminisha nyie wanyonge kuwa yeye mzalendo hataki kwenda nje na akazuia na wenzake wasifaidi....

Kikwete ni Rais bora na kamuacha mbali kabisa mwenda zake.

Kwenye hotuba yake Kikwete alisema aliunganisha mikoa yote lami kasoro vipande vya mikoa miwili tu wakati huo mwenda zake akiwa Waziri wake ...huyu anajenga madaraja mnamwona kama shujaa wa Africa....Mbona Kikwete hajikwezi....

Kikwete era watu walikuwa wanajiriwa....madaraja wanapanda...biashara zinaenda...


Acheni kumchafua Kikwete ni one among the best presidents in Tanzania

Live longer shujaa wa Africa( Kikwete).
 
Mungu huwa hadanganywi
 
Yapo mengi mema aliyo lifanyia taifa hili kutoka taifa lisilojitambua uwezo wake, hadi kuwa taifa linalojitambua,makosa yapo lakini yatupasa kushukuru kwa mema.
Wapigaji na wezi wa rasilimali zetu hawatakuelewa kiongozi.
 
Comment saaafi kabisa.

Ukimuona mtu anatetea utawala awamu ya tano ni vile kwamba ana maslahi nao.

Hatujawahi kuwa na utawala wa hovyo katika maisha yetu watanzania kama utawala wa hayati magufuli.

Frankly speaking, nimehuzunika mno kuona tulitumia fedha nyingi kuweza kuaga kwa heshima mwili wa kiongozi aliyetubagua na kutuua.

Nachoamini mimi ni hiki, makufuru ya jamaa mbele za Mungu huenda ndo yalimuondoa hapa ulimwenguni.

Nafasi ya kuabudiwa apewe Mungu pekee, yeye alisema hatogawana utukufu na wanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…