Hiyo ya bei hiyo kwa south Africa unapata zero milage kabisa au ambayo haijatembea hata km10,000 mzee. Tofauti yake ni ubora wa gari.
Gari ya mjapani ukikuta ina milage ya 20,000km tu balaa lake ni bei utajuta.
Huko utawapelekea documents TRA wakufanyie makadirio. Maana zile bei wameweka pale nadhani ni makadirio ya kodi kutoka Japan ila sio South Africa.SA ndo karibu na kodi je?
Watu haswa tunataka kujua kama kuna unafuu wa bei na kodi,ishu ya gari kufika mapema sio sababu muhimu sana,naomba Isanga family utusaidie kujua hili,kuna unafuu wa bei ya manunuzi na gharama za kodi ukinunua gari SA?Huko utawapelekea documents TRA wakufanyie makadirio. Maana zile bei wameweka pale nadhani ni makadirio ya kodi kutoka Japan ila sio South Africa.
Na baadhi ya Gari toka SA hazipo kwenye mkeka wa TRAHuko utawapelekea documents TRA wakufanyie makadirio. Maana zile bei wameweka pale nadhani ni makadirio ya kodi kutoka Japan ila sio South Africa.
Mkuu kufananisha na Japan ni ngumu kwa sababu SA mimi naweza kununua gari ya 2023 na nikaja nikalipa kodi ila Japan bei zao zinaendana na soko linasemaje sio mwaka wa gari ndio maana unaona watu wanaagiza gari ya 2002 mpaka 2006 wanasema ni jipya wako busy na mileage wakati SA nazingatia umri wa gari kwa maana gari ya 2017 uchakavu unakua hakuna kodi yake haijatofautiana na gari hiyo hiyo ya 2013 mfano Ford Double Cabin wild truck kwa miaka hiyo...unaponunua gari ya miaka ya karibuni inakusaidia kwenda kwa mafundi katibuni kabla hata haujawajua mwafundi...Watu haswa tunataka kujua kama kuna unafuu wa bei na kodi,ishu ya gari kufika mapema sio sababu muhimu sana,naomba Isanga family utusaidie kujua hili,kuna unafuu wa bei ya manunuzi na gharama za kodi ukinunua gari SA?
Nipo Tanzania wiki ijayo tukijaaliwa ntakua SA kuchagua gari za kuleta...ukitaka gari njoo SA upelekwe machimbo sahihi
Yeah, ndio maana ukiwapelekea nyaraka zako za manunuzi TRA watajua cha kufanya.Na baadhi ya Gari toka SA hazipo kwenye mkeka wa TRA
Yeah si ni bank transfer au? [emoji848]SA usalama upoje. Naweza kulipa Kwa Kadi. Badala ya kuzunguka na cash?
kutumia visa/MasterCard ya NMB/CRDB local bank?Yeah si ni bank transfer au? [emoji848]
Mkuu kufananisha na Japan ni ngumu kwa sababu SA mimi naweza kununua gari ya 2023 na nikaja nikalipa kodi ila Japan bei zao zinaendana na soko linasemaje sio mwaka wa gari ndio maana unaona watu wanaagiza gari ya 2002 mpaka 2006 wanasema ni jipya wako busy na mileage wakati SA nazingatia umri wa gari kwa maana gari ya 2017 uchakavu unakua hakuna kodi yake haijatofautiana na gari hiyo hiyo ya 2013 mfano Ford Double Cabin wild truck kwa miaka hiyo...unaponunua gari ya miaka ya karibuni inakusaidia kwenda kwa mafundi katibuni kabla hata haujawajua mwafundi...
Mkuu sasa hii si kutaka niharibu biashara ya mtu kitu ambacho sio sawa ukitaka gari sema nataka gari hii ya mwaka huu Engine fulani sio una copy sehemu harafu tuweke vitu hapa mimi sifanyi hivyo kuharibu kazi za watu...Mkuu ndio kama hii jamaa anauza hapa hapa bongo 17.8mi,Je SA inaweza patikana kwa sh.ngap pamoja na ushuru na kila kitu
Kushindanisha bei rafiki angu sio kuharibu biashara,nadhani ndio maana hata yeye kaweka wazi bei yake. Nimekuuliza sehemu nyingi sana,namna tofauti tofauti sana,na mpaka sasa sijafanikiwa kujua kama kuagiza gari SA kunaokoa gharama kwa kiasi gani,ndio maana nikahisi labda nikikuletea hiyo screenshot yenye bei labda ntapata picha bei inashuka kiasi gani,napo nimegonga mwamba.Mkuu sasa hii si kutaka niharibu biashara ya mtu kitu ambacho sio sawa ukitaka gari sema nataka gari hii ya mwaka huu Engine fulani sio una copy sehemu harafu tuweke vitu hapa mimi sifanyi hivyo kuharibu kazi za watu...
Samahani kwa usumbufu bro,kama hutojali naomba nijulishe bei ya TOYOTA PRIUS ya kuanzia mwaka 2010.Mkuu sasa hii si kutaka niharibu biashara ya mtu kitu ambacho sio sawa ukitaka gari sema nataka gari hii ya mwaka huu Engine fulani sio una copy sehemu harafu tuweke vitu hapa mimi sifanyi hivyo kuharibu kazi za watu...
2006 ni gari ya zamani sana sidhani kama naweza kukushauri ukaagiza gari ya umri huo harafu Mjerumani...Kushindanisha bei rafiki angu sio kuharibu biashara,nadhani ndio maana hata yeye kaweka wazi bei yake. Nimekuuliza sehemu nyingi sana,namna tofauti tofauti sana,na mpaka sasa sijafanikiwa kujua kama kuagiza gari SA kunaokoa gharama kwa kiasi gani,ndio maana nikahisi labda nikikuletea hiyo screenshot yenye bei labda ntapata picha bei inashuka kiasi gani,napo nimegonga mwamba.
Yeah si account yako una irun kwa njia ya internet au?Ye
kutumia visa/MasterCard ya NMB/CRDB local bank?
Kibongo bongo gari latest ndo yenye Kodi kubwa hizo za uchakavu Ni mythNaona ya 2014 au 2015 gharama na hiyo ya 2011 hazitatofautiana sana maana hiyo ya 2011 uchakavu TRA utakua mkubwa ila bei umenunua ndogo ni bora ununue bei kubwa gari ya miaka ya karibuni harafu isiwe na uchakavu kwa hiyo kodi yake itakua imepungua ila imeongezeka kwenye kununua gari nadhani hapa utapata chuma ya karibuni kuliko hiyo ya 2011...
VP usalama wako na gari jipya pindi ukiwa SA maana tunasikia huko ujambazi hasa highway ni 24/7, huwezi kwenda kupoteza maisha na gari likaporwa, mzee wa isanga?2006 ni gari ya zamani sana sidhani kama naweza kukushauri ukaagiza gari ya umri huo harafu Mjerumani...
Hizo gari ukiitaka tafuta atleast 2010 kuendelea hata matatizo yake yatapungua..