..ahahahaha sasa mkuu hii mentality wakoloni wangekuwa nayo wangevuka bahari na kuja kututawala na kupata utajiri wetu mkubwa?.walikuwa na ndugu, wajomba,mashangazi huku Africa?.kama waliweza kuja tena kwa safari za hatar sana bila Internet au kujua wanaenda wapi why vijana wa sasa uoga mwingi?
sisi watz ni waoga sana.... nadhani kutojua vizuri lugha kunashusa conf yetu.... unataka kuniambia kweli kabisa bongo na SA ni sawa?Kama umeshindwa hustle nyumbani ukiwa free kabisaa sidhani kama huko south.A kuna kipya zaidi ya mateso, ubaharia ni jina tuu ila kiukweli hakuna kipya zaidi ya majuto na kuteseka else uwe na kitu cha msingi kinachokupeleka...mark my words!
Kwa mtu aliyesoma historia anajua walitumwa wapelelezi,walikuja kwa gear ya dini,baada ya kutulisha maneno yao manzuri tukawaamini walichotufanya wanajua wenyewe,sasa..ahahahaha sasa mkuu hii mentality wakoloni wangekuwa nayo wangevuka bahari na kuja kututawala na kupata utajiri wetu mkubwa?.walikuwa na ndugu, wajomba,mashangazi huku Africa?.kama waliweza kuja tena kwa safari za hatar sana bila Internet au kujua wanaenda wapi why vijana wa sasa uoga mwingi?
mkuu hata hao missionaries hawakupajua Africa walichukua risk wakafanikiwa..vijana uoga haujengi..leo hii kuna vijana wa mataifa mengine wapo kutafuta maeneo hatarishi kama Congo, south Sudan, Iraq, etc..ujasiri unatangulia kwanza mengine yanafata hata Mungu anachukia watu waoga na wenye negativity refer safari ya wana wa Israel kwenda Kaanani na mambo mazito waliyopitia na wakafanikiwa.Kwa mtu aliyesoma historia anajua walitumwa wapelelezi,walikuja kwa gear ya dini,baada ya kutulisha maneno yao manzuri tukawaamini walichotufanya wanajua wenyewe,sasa
Mleta mada apajui South vinzuri mpaka anaandika uzi anaomba msaada humu kwa anayejua South vinzuri amu elekeze wapi pakufikia kati ya hiyo miji aliyotaja hapo juu sasa kwa mtu mwenye akili unaona dogo kakurupuka,kalishwa maneno ya masikani kuwa South maisha yapo sana,mimi nampa ushauri kama mtanzania mwenzake kuwa anapoamua kufanya maamuzi ya jambo kubwa kama hilo atulize akili yake,ndo maana nimempa option aende Botswana kule hakuna ubaguzi kama ilivyo south
Ok Mimi natoa ushauri tumkuu hata hao missionaries hawakupajua Africa walichukua risk wakafanikiwa..vijana uoga haujengi..leo hii kuna vijana wa mataifa mengine wapo kutafuta maeneo hatarishi kama Congo, south Sudan, Iraq, etc..ujasiri unatangulia kwanza mengine yanafata hata Mungu anachukia watu waoga na wenye negativity refer safari ya wana wa Israel kwenda Kaanani na mambo mazito waliyopitia na wakafanikiwa.
OkayUmeanzisha huu uzi iliupate nini humu?? Kama maamuzi ushaamua kwaiyo unakuja kutuambia unaenda South??mzee huku jamii kunawatu washaenda huko wanakupa muongozo unajifanya ushaamua,hivi ujui kinachoendelea huko,wabongo wanajazana ubalozini wanataka kurudi home
👊🏽 Pamoja sana bro...maana mimi nishachoka kumjibuAcha kujifanya unajua kila kitu.
We Endelea kukaa hapo kwa shemeji
If you say so man!!Wanaofanya kitu kinachoitwa 'burn the Bridges' hua hawana story mingi Kama zako boss.
So what?? Umeulizwa habari za Rafiki yako? Kwann mwanaume unakuwa mbeya kama unashindiliwa kuni??Mshikaji wangu wa rika langu alienda dizonga mwaka 99 na amerudi ni teja na ana waya. Tumempa bajaji washkaji zake tuliokuwa pamoja. Kazaa na mzuru na mtoto wamemchukua wazuru.
Ofcoz naenda na official papers broMkuu pigo za kupewa pa kulala na watz liangalie sana, wataanza kukupeleka na mizigo wakubebeshe drug, wakiona mwaminifu utaagizwa peke yako ufikishe mzigo, ukikomaa wataanza kukuelekeza namna ya kufunga mzigo kwenye packs ili uingie sokoni lakini ukikamatwa wote hutowaona kikubwa uende na makaratasi uishi na kuingia kihalali
Bora uwaambie mkuu....maana sisi wabongo tumejaa husda sjapata ona...inauma na kusikitisha sanaSo what?? Umeulizwa habari za Rafiki yako? Kwann mwanaume unakuwa mbeya kama unashindiliwa kuni??
Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa hivyo.
Nilichogundua sisi wabongo hatupendi kabisa kuskia kitu kinaitwa ku take risk....mkuu hata hao missionaries hawakupajua Africa walichukua risk wakafanikiwa..vijana uoga haujengi..leo hii kuna vijana wa mataifa mengine wapo kutafuta maeneo hatarishi kama Congo, south Sudan, Iraq, etc..ujasiri unatangulia kwanza mengine yanafata hata Mungu anachukia watu waoga na wenye negativity refer safari ya wana wa Israel kwenda Kaanani na mambo mazito waliyopitia na wakafanikiwa.
Mimi nimempa kisa ili ajifunze kitu! Pia unatakiwa ujue kuwa visa vya vijana kuishia kwenye Poda na Kupata UKIMWI Sauzi ni vingi. Pia jifunze kuwa muungwana acha matusi.So what?? Umeulizwa habari za Rafiki yako? Kwann mwanaume unakuwa mbeya kama unashindiliwa kuni??
Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa hivyo.
mbona unakua kama demu jamaa .. kwani kama hujawahi kwenda south inakulazimu vipi kuleta kejeli .. mtu kaomba tu ushauri kama huna si ukae kimya kuliko kuleta ujuaji wa kulazimishana mambo .. kwani lazima wote tuishi bongo .. https://jamii.app/JFUserGuideHili nalo bwabwa daah jamii sasa hivi mabwabwa yamejaa,naona mnataka kwenda kutafuta mabwana wapya,ok kazi kwenu maana kule wamejaa wengi kama nyie,tanzania hatutaki mabwabwa naona mnakimbilia South,eti nawe umekaa bondeni hadithi za masikani zinawachanganya vitoto vya sasa hiv
Asante sana mkuu kwa ushauri wako...pamoja sana bro!!Mkuu nenda direct jozi, halafu nakazia kuna mdau kasema kaa mbali na wabongo maana wabongo waliowengi michongo yao ni wizi na kuuza dawa japo wapo wachache ambao wana utimilifu na wako na biashara halali, kwa sababu umeshajiandaa kufanya kazi zote ni safi cha kukaa nacho mbali ni kuiba na kununua vitu vya wizi, na kuuza madawa na magendo, jaribu marafiki zako wawe Warundi kwanza kwa kuanzia, wacongo sii mbaya, wapopo hawa ongea nao kimachale sana japo ndio jamii ya kutoka nje ya SA waliofanikiwa halali na kwa haramu, jibane sana foreigner usile madem au wake za watu ukajulikana utaundiwa zengwe kali na usimuamini sana dem wa kizuru, kikubwa jipange kabisa namna utakavyosurvive siku za mwanzo ukiwa jozi, akilini weka wewe ndio master wa safari yako, wasikutishe vifo hata bongo vipo kila siku na hata ukibaki bongo hutaishi milele so fukuzana na ndoto zako hadi utakapoishia maaana wapambanaji hua hawarudi nyuma ni kusonga mbele mwendo wa vitani haijalishi utakutana na magumu mangapi.